Mtungi uliojaa kwa kuzima Moto |
Mtungi ulioactive kwaajili ya kuzima moto mshale wake utakuwa kwenye green (kijani). Ikiwa mshale utakuwa kulia mwa alama ya kijani mtungi huu umejazwa kupita kiasi na ni hatari.Imeandaliwa na RSA na Dj Sek Blog
Huu ni mtungi ambao hauna ujazo wowote na hauwezi kuzima moto kwa namna yoyote ile |