MA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akiteta
jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais wa Zanzibar Dkt. Ali
Mohamed Shein, katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha
Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini
Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli
akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi
(CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma. Wa
kwanza kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais wa Zanzibar
Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana pamoja na
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
wakiimba mara baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John
Pombe Magufuli kuwasili katika ukumbi wa Chama cha Mapinduzi (White House) mjini Dodoma.

akiagana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye
amemaliza muda wake Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman
Kinana akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama
cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini
Dodoma.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
wakiimba mara baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John
Pombe Magufuli kuwasili katika ukumbi wa Chama cha Mapinduzi (White House) mjini Dodoma.
Picha na IKULU
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia