ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO LAZINDULIWA WILAYANI NGORONGORO

 Leo Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kwa Ushirikiano na Naibu Waziri wa Mifugo (Mhe Ulega) pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro wamezindua zoezi la Upigaji Chapa Mifugo Kata ya Nainokanoka Wilayani Ngorongoro.

 Zoezi hili litasaidia KU-Control movement ya mifugo kutoka ndani na nje ya nchi, kuipa serikali uwezo wa kuwatambua na kuwahudumia wafugaji wetu.

 kwa mujibu wa maelezo ya mkuu wa mkoa wa Arusha mrisho Gambo amesema kuwa Mtu yoyote atakaye hujumu zoezi hili hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake! Deadline ya kuhitimisha zoezi hili ni tarehe 30 Januari 2018 kwa mkoa wa Arusha!





About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia