Mh. Suzan Lyimo (MB) wa Chadema akiwa kwenye mkutano wa kimataifa wa kuzuia nuklia huko Uswisi akiwa ametinga Vazi la kiutamaduni la Kimasai. Viongozi wetu wangeiga mfano huu sio tu ingependeza sana bali pia tungetengaziwa vyema utamaduni wetu nje ya nchi
Mh Suzan Lyimo katika vazi la Kaskazini kwenye mkutano wa kimataifa
byMICHUZI BLOG
-
0