Ni katika njia ya Moshi ambapo kushoto kuna lori na mbele katika kona kuna gari linakuja lakini bado tu madereva watatu hawajali hatari hiyo na kuendelea kushindana mbio. Nani wa kulaumiwa hapa endapo ajali ingetokea??
UENDESHAJI HATARI WA MADEREVA WA ARUSHA
bywoinde
-
0