KWA WATANZANIA WOTE WAJENGAO,KUNA MCHEZO MCHAFU UNAOFANYIKA KATIKA
VIWANDA VYA MABATI AU WAKALA WAO AMBAPO WAUZAJI NA MAFUNDI HUSHIRIKIANA
KWA PAMOJA,KUMWIBIA MTEJA KWA MBINU HII,FUNDI ANAPOPIMA VIPIMO VYA
MABATI HUWA WANAKUWA NA VIPIMO HALISI(HALALI)NA VINGINE FEKI(ALIZOONGEZA
KWA KILA PC YA BATI)MARA NYINGI HUONGEZA NUSU MITA(SENTIMITA 50 HADI
70)
HIVYO ANAPOKWENDA KUFANYA MANUNUZI AU KUTOA ODA KWENYE VIWANDA AMA
WAKALA WA KIWANDA HUWA NA KARATASI MBILI,ILE FEKI YENYE VIPIMO
VILIVYOONGEZWA NDIO HUMPATIA MWENYE NYUMBA,AMBAPO MARA NYINGI MAFUNDI
HAO HUWA WAMESHAONGEA NA WAHUSIKA KTK KATIKA KIWANDA AU WAKALA,NA
HUMLAZIMISHA MWENYE NYUMBA KUFANYA MANUNUZI MAHALI ALIPOKUSUDIA KUFANYA
UHALIFU HUO(UWIZI)HIVYO VIPIMO VILIVYOONGWEZWA MITA NDIO HUPIGIWA
MAHESABU,MFANO KWENYE ODA ANAPIGIWA MAHESABU YA MITA 560.
MARA BEI
WALIYOPATANA,HIVYO MTEJA HULIPIA MITA 560,BAADA YA MTEJA KUONDOKA,FUNDI
HULETA VIPIMO HALISI .MFANO NI 480,HIVYO ILE TOFAUTI BASI HUPIGIWA
HESABU MARA BEI NA KUGAWANA FEDHA HIZO, AMBAPO KWAKWELI UKIANGALIA
TOFAUTI HUWA NI KUBWA SANA HUWA NI KATI YA MITA 70 HADI MITA 120
KULINGANA NA UKUBWA WA NYUMBA,NA BEI KWA MITA MARA NYINGI NI KATI YA
12000 KWA MITA HADI 11500 KWA MITA. HIVYO UKIZIDISHA MARA HIZO
MITA,HUJIKUTA FEDHA UNAZOPOTEZA NI GHARAMA ZA KUMLIPA FUNDI,
USHAURI,KILA MWENYE KUJENGA AMA MWENYE KUNUNUA MABATI HASWA HAYA YA
KUKATWA KWA MITA.
HAKIKISHA UNAKUA NA KOPI YA VIPIMO AMBAYO FUNDI
AMEKUPA,NA UNAPOKWENDA KUCHUKUA BIDHAA YAKO HAKIKISHA UNAPIMA KILA PC
KULINGANA NA KOPI ULIYONAYO, HAKIKISHA BATI ZISIPIGWE HADI UHAKIKI,TUMA
UJUMBE HUU KWA KILA GROUP UMUOKOE MTANZANIA MWENZAKO KATIKA UBADHIRIFU
HUU, UNAOFANYWA NA MAFUNDI WENGI WA KUPAU NYUMBA WAKISHIRIKIANA NA WENYE
KUUZA MABATI, kwa kisingizio eti "matajiri wanatubana kwenye malipo"*