MOPLUS KUJA NA ALBAMU INGINE Woinde Shizza Saturday, April 30, 2011 Add Comment Mwanahiphop mkongwe toka 009 a.k.a. ungalimited" pande za Arusha anayekwenda kwa jina "MoPlus" anakuja na album yake ya ... Read More
DOGO JANJA APIGWA NA MWALIMU KOSA .. HILO HAPO CHINI Woinde Shizza Saturday, April 30, 2011 1 Comment hivi karibuni msanii mdogo kuliko wote Bongo, Abdul Azizi (Dogo janja) alipokea kipigo cha ngumi mateke pamoja na mtama kutoka kwa mwalimu... Read More
ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MALERIA KITAIFA Woinde Shizza Thursday, April 28, 2011 Add Comment baadhi ya wakazi wa Arusha wakiwa wameanza kutembelea baadhi ya mabanda ambayoyalikuwa yamekamilisha maandalizi Maandalizi ya siku ya maleri... Read More
MOSHI VETERANI WANYAKUWA KIKOMBE MOMBASA Woinde Shizza Wednesday, April 27, 2011 Add Comment Timu ya soka ya Moshi veterani katika picha ya pamoja mara baada ya kufanikiwa kujinyakulia kikombe katika bonanza la Pasaka lililofanyika m... Read More
MASHALA AJITOKEZA KUCHUKUWA FOMU YA MDFA Woinde Shizza Wednesday, April 27, 2011 Add Comment MDAU wa soka wilayani Nayamagana mkoani Mwanza,Gerald Mashalla maarufu kama”Mfahamiko” ameibuka na kuchukua fomu za kuwani nafasi ya umakamu... Read More
MADARAKA BENDERA NA ALLY MOHAMMED WATEULIWA KUBEBA JAHAZI LA KUKINOA KIKOSI CHA MOUNT MERU WARRIORS Woinde Shizza Wednesday, April 27, 2011 Add Comment CHAMA cha soka mkoani Arusha(ARDF) kimewateua makocha wawili ,Madaraka Bendera na Ally Mohammed kubeba jahazi la kukinoa kikosi Cha timu ya ... Read More
WENYEVITI WA MITAA WATAKIW AKUKUMBUKA WANANCHI WAO Woinde Shizza Sunday, April 17, 2011 Add Comment WENYEVITI wa mitaa wametakiwa kujijengea utamaduni wa kuwa na kumbukumbu sahihi za wananchi wao ili kuwezesha shughuli mbalimbali za maen... Read More
WENYEVITI WA MITAA WATAKIW AKUKUMBUKA WANANCHI WAO Woinde Shizza Sunday, April 17, 2011 Add Comment WENYEVITI wa mitaa wametakiwa kujijengea utamaduni wa kuwa na kumbukumbu sahihi za wananchi wao ili kuwezesha shughuli mbalimbali za maen... Read More
CHAMA ASHAURI AFC KUJIPANGA UPYA Woinde Shizza Sunday, April 17, 2011 Add Comment Mara baada ya kushuka daraja msimu uliopita kocha wa klabu ya soka ya AFC ,Rashid Chama ameushauri uongozi wa klabu hiyo kujipanga katika sa... Read More
MWANRY AWAWEKA CHINI YA ULINIZI WACHAFUZI WA MAZINGIRA Woinde Shizza Sunday, April 17, 2011 Add Comment Naibu waziri wa TAMISEMI Agrey Mwanry akiwa amesimamia kuwekwa chini ya ulinzi vijana watatu aliowakata ,ambao majina yao hayakuweza kufaham... Read More
KUMI WAFARIKI DUNIA AJALINI ARUSHA LEO Woinde Shizza Friday, April 15, 2011 Add Comment WATI 10 wamefariki dunia na wengine nane wamejeruliwa na wanne kati yao wanahali mbaya, baada ya magari waliyokuwa wakisafiria kugongana ... Read More
BAKWATWA WILAYA YATOA MSAADA KWENYE MASHINDANO YA ANDENGENYE CUP Woinde Shizza Wednesday, April 13, 2011 Add Comment picha katibu bakwata wilaya ya Arusha Abasi Mkindi (darueshi) akimkabidhi kamanda wa jeshi la polisi mkoni hapa Thobias Andengenye jezi pamo... Read More
MKURUGENZI MKUU WA TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA PROF.IDD MKILAHA ATOA TAHADHARI Woinde Shizza Wednesday, April 13, 2011 Add Comment Tume ya nguvu za Atomiki Tanzania imetoa taadhari kwa wananchi wanaotumia vyakula vinavyotoka nje ya nchi kuhakikisha wanakula vyakula ambav... Read More
VIJANA 2000 WATIMUKA CCM ,KATIBU UVCCM ATHIBITISHA Woinde Shizza Wednesday, April 13, 2011 Add Comment Vijana zaidi ya 2000 wa chama cha mapinduzi ,kutoka katiika jimbo la Arumeru Mashariki wameamua kukihama chama hicho na kuhamia... Read More
KOCHA WA TAIFA RIADHA Woinde Shizza Wednesday, April 13, 2011 Add Comment Kocha wa timu ya taifa ya riadha Endro Boro akiwafundisha wanaridha jinsi ya kuanza kukipimbia Read More
YALIYOJIRI SIKU YA UZINDUZI WA aNDENGENYE CUP Woinde Shizza Wednesday, April 13, 2011 Add Comment Mpaka kieleweke ilo kombe letu bwana wewe nipisheMshambuliaji wa timu ya Kaloleni, John Njiguna (kulia), akimuacha beki wa timu ya Polisi ya... Read More
DARAJA MBILI YAWAPIGA LEVOLOSI 2-1 Woinde Shizza Wednesday, April 13, 2011 Add Comment Timu ya daraja mbili ya jijini hapa imeweza kuaanza vyema mashindano Andengenye Cup mara baada ya kuweza kuifunga timu ya Levolosi magoli ... Read More
WASICHANA 216 WAKATISHWA MASOMO SABABU YA MIMBA Woinde Shizza Wednesday, April 13, 2011 Add Comment Wasichana 216 kutoka katika wilaya mbalimbali hapa za Mkoa wa Arusha wamelazimika kukatisha masomo yao mara baada ya kup... Read More
TBL YAKABITHI TIMU YA VETERANI JEZI Woinde Shizza Thursday, April 07, 2011 Add Comment KAMPUNI ya bia Tanzania(TBL)imekabidhi msaada wa jezi kwa timu ya soka ya Moshi veterani ikiwa ni sehemu ya zawadi zilizotolewa kwa washind... Read More
BODI YA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO YATOA MSAADA WA NG'OMBE NA MBUZI Woinde Shizza Thursday, April 07, 2011 Add Comment waandishi wa habari waandamizi kwa jina lingine wapiganaji maarufu wakiwa wa kushoto ni Jamila Omary na Kwame (marco Jaksoni) wakiwa wanarej... Read More
Woinde Shizza Sunday, April 03, 2011 Add Comment Mthamini wa mashindano ya Andengenye cup ambaye pia ni mkurugenzi wa RBP na pia ni balozi wa ulinzi shirikishi hapa nchi Rahma Alharooos aki... Read More
ANDENYENYE CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI APRILI 9 Woinde Shizza Sunday, April 03, 2011 Add Comment Jeshi la polisi mkoani hapa limeandaa mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kama Andengenye Cup ambayo yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi... Read More
MAJAMBAZI WATANO WAKAMATWA NA BASTOLA Woinde Shizza Sunday, April 03, 2011 Add Comment Kamanda wa polisi mkoni hapa akionyesha bastola aina ya Bereta ambayo majambazo hao walikamatwa nayo Jeshi la polisi mkoani hapa linawashiki... Read More