YALIYOJIRI SIKU YA UZINDUZI WA aNDENGENYE CUP
Mpaka kieleweke ilo kombe letu bwana wewe nipisheMshambuliaji wa timu ya Kaloleni, John Njiguna (kulia), akimuacha beki wa timu
ya Polisi ya Arusha wakati wa mechi ya ligi ya Kombe la Andengenyi inayoendelea
kwenye Uwanja wa Shekh Amri Abeid jijini Arsha jana.Kaloleni ilishinda 3-0
Baada ya hapo mechi ikaanza wakaanza kukamua mbaya

mkuu wa mkoa akisalimiana na refa wa mchezo wa ufunguzi

mkuu wa mkoa wa Arusha Izodory Shirima ambaye alikuwa mgeni rasmi akisalimia wananchi waliouthuria katika uzinduzi huo

Balozi wa ulinzi shiriki akiongea na wananchi waliouthuria siku hiyo ya ufunguzi wa andengenye cup


Andengenye akiongea na wananchi kuhusiana na lengo la mashindano haya

balaa adi andengenye mwenyewe alikuwa anasakata rumba pamoja na rais wa ulinzi shirikishi nae pia yumo

mwisho wa siku viongozi walishindwa kuvumialia wakaamua kujichanganya kusakata rumba

bendi ya polisi moshi iliburudisha haswaaaaaaaaaa

raha tupu

vikundi vya akina mama havikuwa nyuma kutumuiza siku hiyo hichi ni kikundi cha daraja mbili cha ngoma

kikundi cha sekei kikipita kwa madaha yote hayo wanahamasisha ulinzi shiriki kwenye kombe la Andengenye Cup

apo viongozi wakishangilia vikundi vya ulinzi shirikishi vilivyokuwa vinapita mbele yao
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia