Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mulongo
akimsalimia Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Mikidadi Galilima wakati
wa hafla ya makabidhiano ya pikipiki za Wakaguzi wa polisi wa Tarafa
iliyofanyika leo tarehe 31.01.2013 katika kiwanja kilichopo katika kambi ya
polisi ya Arusha mjini
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mulongo
akimkabidhi pikipiki Mkuu wa Polisi wilaya ya Monduli Mrakibu wa Polisi Morris
Okinda ambaye itatumika na askari tarafa waliopo wilayani kwake
. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mulongo
akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi katika hafla ya makabidhiano ya pikipiki
za Wakaguzi wa Polisi wa Tarafa wa Mkoa wa Arusha. Anayemuongoza mbele yake ni
Mkaguzi wa Polisi Isaack Manoni