KIGOMA ALL STAX WANOGESHA USIKU WA VALENTANE NDANI YA VIA VIA CULTURAL ARUSHA

 Msanii ajulikanae kwa jina la Ally kiba akifanya mambo katika ukumbi wa viavia wakati wa sherehe za valentane day jijini Arusha

 mashabiki waliuthuria kibao katika shoo hii ya siku ya wapendanao wengine walitokelezea na red huku wakionekana kila mmoja akiwa na mpenzi wake shoo hii ilidhaminiwa na kituo kikubwa cha radio cha jijini hapa Kinachotikisa karibia tanzania nzima kituo cha Radio 5

 Ally kiba akifanya mambo yake
 hii ni meza ya baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha radio 5 kilichoandaa na kuthamini shoo hii kwa ajili ya siku ya wapendanao wengine waniiita valentane day
 katika shoo hii kulikuwa na wasanii kibao ikiwa ni pamoja na mzee wa zamani zairi zoro  ambapo mara baada ya kumaliza shoo yake katika ukumbi wa palace hotel aliamia kumpa mtoto wake banana zoro sapoti ambapo alionekana ni mtu mwenyefuraha sana
 kikundi cha kontejazz kikifanya maambo wa mbele alieshika mc ni msanii jose ambaye ndio kiongozi wa kikundi hichi kinachotamba sana jijini hapa

 washabiki walikuwa kibao mchanganyiko wageni wazungu pamoja na watoto wenye hasili ya kibantu namaanisha waaafrika walijitokeza kupata raha katika usiku huu wa valentane day uliondaliwa na radio 5
 ma dj nao hawakuwa nyuma katika swala zima la kutoa burudani
 warembo kibao  usipemeeeeeeeeeeee

  leo nina furaha sana mpenzi wangu
 wadada walijitokeza kucheza na ally kiba kila mmoja alijitu kwa namna yake



 amini nae alikuwepo katika shoo hii ila yeye alitoa mpya pale alipotaka mdada wa arusha wa kumwakilisha lina katika wimbo wao wa mtima wangu
 wadada wa radio 5 akiwemo mwangaza jumanne pamoja na Tonie kaisoi wakibadilishana mawazo huku wakipata redds
 kwa upande wake wa mwasiti nae alimtafuta chid benz wa A-town nae huyu akuwa nyuma kujitokeza
 warembo wa A-town walijitokeza kumuunga mkono mwanadada mwasiti
 Mzee Zahiri  zoro akiwa na mdada wa Radio 5 wakimfurahia  Banana  wakati akiimba


 Baba na mwana waliamua kutoa suprise kwa watu wa A-town kwa kuwaimbia wimbo wa nzera


 msanii Linex jana ndio ilikuwa siku yake ya kuzaliwa kwa iyo aliisherekea A-Town na washabiki wake pamoja na wengine sasa mambo yalikuwa hivi mara tu baada ya kuingia jukwaani


 baada ya kukata keki aliendelea kuwapa starehe washabiki wake
 kaka aibu aliendelea kujilia keki ya mtoto aliyezaliwa siku hiyo na kusahau kuwa alikuwa Mc ilikuwa raha balaaa na yote hayo yamesababishwa na kituo cha radio 5 fm Arusha 105.7



 muonekano wa linex jukwaani kwa jana mara baada yakusherekea siku yakuzaliwa
 mdada walibeneke aliamua kuwaunga mkono kigoma all star wakati wakiimba wimbo wao wa kigoma

 kigomaaaaaa aeeh kigomae !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 waungwana mdada wa libeneke la kaskazini nae alikuwepo katika shoo hii ya kigoma All star iliondaliwa siku ya valentane day na kituo cha radio 5 Arusha usipimeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwa wakazi wa A-town sikilizeni 105 .7 fm

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post