Moja ya
Mabango Makubwa yanayomuonyesha Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer
aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya
Selian,Jijini Arusha,likionekana nje ya Kanisa la KKKT jijini Arusha.
Askofu Mkuu wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa
akiongoza jopo la Maaskofu kuelekea kwenye eneo la Maziko ya aliekuwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi
ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha
na kuzijika jioni hii kwenye eneo la nje ya kanisa hilo.
Mwili wa Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer ukiwasili eneo la Kaburi.
Maaskofu wakiongoza ibada ya maziko ya aliekuwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi
ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha
na kuzijika jioni hii kwenye eneo la nje ya kanisa hilo.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiweka udongo kaburini.
Askofu Mkuu wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa
akiongoza ibada ya maziko ya Dk. Laizer jioni hii,jijini Arusha.
Mke wa
Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer,Mama Maria Laizer pamoja na familia
ya Marehemu,wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la Askofu Dk. Thomas
Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya
Selian,Jijini Arusha.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye Kaburi la
aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer
aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya
Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya leo
nje ya Kanisa hilo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe
Mama Regina Lowassa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi
ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Willim Mkapa na Mkewe Mama Anna
Mkapa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013
katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Rais
Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mkewe Mama Sitti
Mwinyi wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini
na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari
7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB,Dk. Charles Kimei na Meneja wa CRDB kanda ya Kaskazini wakiweka
shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013
katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi
yake yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Hai,Mh. Freemon Mbowe akiweka
shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013
katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi
yake yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
Waheshimiwa wabunge waliokuwepo kwenye Mazishi hayo wakielekea kwenye Kaburi
la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer
kwa kuweka mashada ya maua.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Dk. Thomas Laizer .
Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa wakiweza Shada la Maua kaburini.
Waheshimiwa Mawaziri na Manaibu Mawaziri pia walijumuika kwa pamoja kuweka shada la Maua kaburini hapo.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiweka
shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer
aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya
Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya leo
nje ya Kanisa hilo.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa salamu zake kwa waombolezaji wa msiba
mkubwa wa aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas
Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali
ya Selian,Jijini Arusha.katika Kanisa Kuu la KKKT jijini Arusha jioni
hii.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akitoa salamu zake.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Hai,Mh. Freemon Mbowe akitoa salamu zake.
Mbunge wa Jimbo la Arusha,Mh. Godbress Lema akizungumza.
Askofu Mkuu wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa
akiongoza ibada ya maalum la kumuombea Marehemu Dk. Laizer kabla ya
kwenda kwenye maziko jioni hii,jijini Arusha.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee Ali Hassan
Mwinyi,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu
Mstaafu Edward Lowassa wakishiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Dkt.Thomas
Laizer iliyofanyika katika kanisa na Usharika wa mjini Kati.mjini
Arusha leo.
Mke wa Marehemu,Mama Maria Laizer (kushoto) akiwa na waombolezaji wengine.
Viongozi Mbali mbali.
Viongizi wa Dini.
Mzee Mwinyi akiwasili kanisani hapo na kupokelewa na baadhi ya viongozi wa Kanisa.
Maaskofu wakuu.
Mzee Mkaa na Mama Mkapa wakiondoka kanisani hapo.
Mzee Mwinyi akiwaaga waombolezaji wengine.
Rais Kikwete akiaga.
Ndg Kinana.
Mh. Lowassa akisalimiana na Waombolezaji wengine.
Mh. Mbowe akisalimiana na Waombolezaji.
Mh. Lowassa akibazungumza na Bw. Ole Milya.