Waziri
wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akizungumza na kuzindua wimbo
maalum wa NSSF uliotungwa na Wasanii hapa nchini wajiitao All
Stars,mbele ya wadau waliohudhuria mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza
leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.Kauli mbiu ya mkutano huo kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akifafanua jambo kwa umakini mbele ya Wadau zaidi ya 1000 kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania, kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaondelea hivi sasa kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike..

Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crenscentius Magori akifafanua jambo mapema leo asubuhi wakati mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza
leo Februari 13,ukiendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.
Meneja
wa kanda na anaeshughulikia Idara mbalimbali za serikali kutoka
NSSF,Rehema Chuma akifafanua namna ya uendeshaji wa shirika hilo kwa wadau waliohudhuria mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza
leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.
Sehemu ya Meza kuu ya mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Pichani juu ni wadau mbalimbali wakifuatilia mkutano
Pichani shoto ni Meneja Mahusiano wa PPF,Lulu Mengele na mdau mwingine wakifuatilia yanayojiri ndani ya mkutano huo unaoendelea hivi sasa.
Pichani
shoto ni Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini (CHADEMA),Mh Joseph Mbilinyi
a.k.a Sugu akiwa sambamba na Mbunge wa Arumeru Mashariki,Mh Joshua
Nasari (CHADEMA) na Wadau wengine wakifuatilia yanayojiri hivi sana
kwenye mkutano wa NSSF.
Baadhi
ya Wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali wakifuatilia yanayojiri
ndani ya mkutano wa NSS unaoendelea hivi sana ndani ya ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha
Pichani shto ni Mbunge wa jimbo la Ludewa,Mkoani Njombe,Mh Deo Filikunjombe (CCM) akiwa na baadhi ya Wabunge Wenzake wanaohudhuria
mkutano huo wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri ndani ya
mkutano huo ambao umewakutanisha wadau zaidi ya 1000 kutoka sehemu
mbalimbali jijini Arusha.
Mwenyekiti wa kikao cha awamu ya kwanza cha Mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Bwa.Daudi
Msangi akitoa utaratibu kwa Wanachama na wadau mbalimbali waliohudhuria
mkutano huo unaoendelea ,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha,kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akizungumza jambo na Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crenscentius Magori mapema leo asubuhi kabla ya kuanza kwa mkutano wa
shirika hilo.
Mmoja
wa wajumbe wa NSSF,Peter Sumbi aliyekuwa akifanya kazi shirika la
Wildlife Fund akitoa ushuhuda wake,namna alivyopata ajali na kufanikiwa
kupata fao lake la ajali kazini kutoka kwa shirika la NSSF na hatimaye
kufaidi matunda kupitia mfuko huo.
Pichani
ni Mwenyekiti wa wasataafu wa TAZARA,Injinia Mwl.Sango akitoa ushuhuda
wake kuhusiana na namna shirika la NSSF lilivyowasaidia wastaafu wa
shirika la TAZARA,kupitia mfuko wa pensheni na fao la kujitoa.
Mgeni
Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd (wa tatu kulia) na Mkewe,Mama
Asha Seif Idd (wa pili kushoto) wakiwasili kwenye hoteli ya Mount
Meru,Jijini Arusha usiku huu tayari kwa ufunguzi wa Mkutano huo
utakaoanza kufanyika kuanzia Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa
Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Wengine pichani ni Waziri wa Kazi na
Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka (katikati),Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh.
Dkt. Makongoro Mahanga (wa pili kulia),Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
wa NSSF,Ndg. Aboubakar Rajab (nyuma ya Waziri Kabaka) pamoja na
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt.
Ramadhan Dau (kulia).
Mgeni
Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd akisoma hotuba yake wakati wa
hafla ya Uzinduzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF) utakaoanza kufanyika kuanzia Februari 13,kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Waziri wa
Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akisoma hotuba yake usiku huu wakati
wa hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF) utakaoanza kufanyika kuanzia Februari 13,kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
akizungumza machache usiku huu wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa
tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) utakaoanza
kufanyika kuanzia Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.
Mgeni
Rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd akipongezwa na Mwenyekiti wa Bodi
ya Wakurugenzi wa NSSF,Ndg. Aboubakar Rajab mara baada ya kutoa hotuba
yake ya ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF) utakaoanza kufanyika kuanzia Februari 13,kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crenscentius Magori akitangaza majina ya washindi wa tuzo mbali mbali za
NSSF kutoka mashirika,makampuni pamoja na watu binafsi.
Baadhi ya
Washindi wa Tuzo mbali mbali za NSSF wakipokea tuzo zao hizo kutoka kwa
Mgeni Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau wa
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Makamu wa Pili wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd
Wakurugenzi Wakuu wa Zamani wakiwa na tuzo zao baada ya kupokea.
Mgeni
Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
akiagana na Mke wa Makamu wa pili wa Zanzibar,Mama Asha Seif Idd.
Waziri wa
Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka (kulia) akibadilishana mawazo na
Katibu Mkuu Wizara ya Kazi na Ajira,Ndg. Eric Shitindi (katikati) pamoja
na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NSSF,Ndg. Aboubakar Rajab.
Mkurugenzi
Mkuu wa PPF,William Erio (kulia) akimtambuliza Meneja Mawasiliano wa
PPF,Lulu Mengele kwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto
Kabwe.
Zawadi kwa Mgeni Rasmi.
Zawadi kwa Mh. Waziri Kabaka.
King Kikii na Wazee Sugu.
Kigoma All Stars wakitigita stejini.
Mambo ya Kitamaa cheupee....
Wafanyakazi wa NSSF.
Wakurugenzi Wakuu wastaafu.
Wajumbe wa Bodi ya NSSF.
Waheshimiwa wabunge.
Wahariri wa vyombi vya habari hapa nchini.
Mambo yamenoga.
Picha ya pamoja na Baadhi ya Wakurugenzi wa Mifuko mbali mbali.
Picha ya pamoja na wakurugenzi wastaafu.
Picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya NSSF.
Picha ya pamoja na Wabumbe.
Picha ya pamoja na Washindi wa tuzo mbali mbali.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia