Msanii wa kizazi kipya ajulikanaye kwa jina la Nasib Abudul(diamond Platinum)akiwapa burudani wa kazi wa jiji la Arusha katika shoo yake iliodhaminiwa na kituo cha radio 5 ndani ya klabu ya safari iliopo ndani ya ukumbi wa jengo la sundown cornival lililopo nje kidogo ya jiji la Arusha
warembo wakichat wakati burudani ikiendelea |
wadawa nao wanajua kutunza uyu mdada yeye alipenda wimbo wa kizai zai wa diamond akaamua kwenda kumtunza kabisa
Msanii diamond akiwapagawisha mashabiki wa Arusha waliouthuria katika show
Mashabiki wa diamond wakitamani kupigwa ata Kiss na msanii huyo |
Ma dance wanaotikisa Tanzania kutoka Arusha Contegeous waliokuwepo katika show hiyo wakiburudisha
Baadhi ya wadada waliokuja kutazama show wakimfurahia msanii daimond
Wakwanza kutoka kulia ni mkurugenzi wa mwandago investiment akifuatiwa na meneja masoko wa K-vant Gin Godluck kwayu,meneja wa sigara kanda ya kaskazini jina halijaweza fahamika mara moja akifuatiwa na meneja wa TBL nao waliudhuria katika show ya diamond platinum
Diamond Akicheza na mshabiki wake baada ya kushuka stage |
Hili ni jiko la kisasa la kuchoma nyama lililopo ndani ya hotel ya sundown conival
picha juu na chini ni warembo wa kituo cha radio 5 ambao ndio wathamini wa kuu wa show hiyo ya diamond plaatinum