Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akihutubia mamia ya wakazi wa Mwanza katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kanda ya Ziwa.
Kamanda Alphonse Mawazo akiongea katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kanda ya Ziwa.
Maandamano makubwa ya amani baada ya mkutano, kutoka Furahisha hadi Nyumbani Hoteli
Viwanja vya Furahisha Mwanza, CHADEMA yatikisa