Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa
Vikosi vya Ulinzi alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa
Mkoa Mjini Magharibi akiwa katika ziara ya Mkoa huo iliyoanza leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wafanyakazi
katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi alipofanya ziara ya Mkoa
huo iliyoanza leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wafanyakazi
katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)akiwa na Viongozi
katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi alipofanya ziara ya Mkoa
huo iliyoanza leo (wapili kushoto) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibu
Abdalla Mwinyi Khamis,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Barza la
Mapinduzi DK.Mwinyihaji Makame,(kulia) na Mkuu wa
Wilaya Mjini Abdi Mahamoud Mzee
Baadhi ya Viongozi na watendaji wa Idara mbali
mbali za Ofisi za Serikali wakiwa katika ukumbi wa Mikutano
wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi,katika mkutano na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,
Baadhi ya Viongozi na watendaji wa Idara mbali
mbali za Ofisi za Serikali wakiwa katika ukumbi wa Mikutano
wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Ripoti ya
utendaji kazi za Mkoa,kutoka kwa Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi
Abdalla Mwinyi Khamis,alipofika Ofisini kwake akiwa katika ziara
ya Mkoa huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akionesha zawadi aliyopewa na
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mhandisi wa
Ujenzi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Iddi Khatib,alipotembelea
kukagua Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wilaya huko Mpendae Mjini
Zanzibar,akiwa katika ziara ya mkoa Mjini Magharibui iliyoanza leo
Ujenzi Skuli ya Sekondari ya Wilaya huko Mpendae Mjini Zanzibar ukiendelea katika Mkoa wa
Mjini Magharibi
,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alitembelea ujenzi huo akiwa katika
ziara ya Mkoa huo iliyoanza leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji (ZAWA) DK.Mustafa Ali
Garu,alipofika Chumbuni Kuangalia mradi uchimbaji wa kisima cha Maji
katika eneo hilo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza
leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo ya Ujenzi kutoka kwa
Mhandisi wa Ujenzi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Iddi
Khatib,alipotembelea kukagua
Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wilaya huko
Mpendae Mjini Zanzibar,akiwa katika ziara ya mkoa Mjini
Magharibui iliyoanza leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo
kutoka Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji (ZAWA) DK.Mustafa Ali
Garu,alipofika Chumbuni Kuangalia mradi uchimbaji wa kisima cha Maji
katika eneo hilo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza
leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitia saini kitabu cha
wageni baada ya kufungua kituo cha Mafunzo ya Kazi za Amali,Chumbuni Wilaya
ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi
Baadhi ya Viongozi na wananchi wa Jimbo la Muembemakumbi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na
wananchi hao
alipofungua kituo cha Mafunzo ya Kazi za
Amali,Chumbuni Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi alipokuwa katika ziara
Mkoa huo

Msoma Utenzi Shadat Juma,akiwaburudisha wananchi
katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha Mafunzo ya Kazi za
Amali,Chumbuni Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi,mbele ya
mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa katika ziara Mkoa huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na
wananchi na wazee wa Chumbuni Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini
Magharibi, alipofungua kituo cha Mafunzo ya Kazi za Amali,akiwa katika ziara Mkoa
huo,(kulia) Naibu waziri wa Ulinzi Perera Ame Silima,na Mkuu wa Mkoa
wa Mjini Abadallah Mwinyi Khamis,na (kushoto)Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea risala ya kituo cha
kituo cha Mafunzo ya Kazi za Amali,Chumbuni Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini
Magharibi, kutoka kwa Katibu wa Chuo Iddi Sheha Makame,alipokizindua
kituo hicho akiwa katika ziara Mkoa huo
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Hassan Ali Mbarouk,(kulia) akitoa maelezo kwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati
alipotembelea kituo kipya cha Umeme huko Welezo alipokuwa katika ziara
ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo