Katidis alionyesha ishara hiyo ya jeshi la zamani la Nazi lililokuwa chini ya Fashist Adolf Hitler na leo Shirikisho la Soka la Ugiriki limetangaza kumfungia maisha kuichezea timu zote za timu ya taifa.
Kiungo huyo mwenye miaka 20 tayari amesema hakuwa na nia mbaya huku akilaani vyombo vya habari kulikuza suala hilo.
Yeye amesisitiza alikuwa akimuonyesha kidole mchezaji mwenzake, Michalis Pavlis aliyekuwa mbele yake kwa lengo la kuonyesha furaha yake.
Klabu yake tayari imeeleza inasubiri maelezo kutoka kwa kiungo huyo ambaye siku hiyo alifunga bao la ushindi kwa timu yake hiyo. Katidis will not be eligible to represent his country at any level after his alleged salute
Katidis wrote on Twitter: 'I am not racist in any way.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia