Meneja
wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kulia) akipokea kinywaji
chake cha Ndovu wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar
iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika
Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Meneja
wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kulia) akiwa pamoja na
marafiki na wadau wa Bia ya Ndovu wakati wa awamu ya pili ya Burudani
ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau
mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha
mwishoni mwa wiki.
Wadau
wa Ndovu Special Malt, wakiwa pamoja katika meza yao wakipata burudani
huklu wakinywa Ndovu Special Malt wakati wa awamu ya pili ya Burudani
ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau
mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha
mwishoni mwa wiki.
Wadau
wengine waliamua kukaa kaunta na kushusha taratibu kinywaji cha Ndovu
Special Malt wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar
iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika
Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Kijana
akitoa burudani kwa mashabiki na wapenzi wa Bia ya Ndovu Special Malt
wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar
iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika
Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Ndovu Special Malt ndio mambo yoteee.....
Warembo wa Ndovu Special Malt.
Wadau
wakilisakata rumba ndani ya Ndopvu Special Malt Crystal Bar
iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Masai Camp jijini
Arusha.
Ndovu
Special Malt imewakutanisha pamoja Mameneja wa Chapa mbalimbali za
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kutoka kushoto Meneja wa Kinywaji cha
Redd’s, Victoria Kimaro, Meneja wa Safari Lager, Oscar Shelukindo pamoja
na Meneja wa Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli wakiwa katika picha ya
pamoja wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar
iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika
Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Wadau na vilaji vyao.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia