ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KIWANDA CHA A TO Z
| Mwandishi wa kampuni ya Habari Corporation na MC Abraham Gwandu, akifungua shampign jana katika hafla fupi iliyofanyika ukumbi wa TEXAS baada ya kumalizika kwa ziara ya kutembelea kiwanda cha A TO Z |
| kutoka kushoto Arusha Mohamed wa Radio 5, Mwandishi wa Channel Tena Jamila Omari na Pamella Mollel wakiserebuka taarab mara baada ya kumalizika kwa ziara ya kutembelea kiwanda cha A TO Z jana |
| Mwandishi Peter Saramba wa Mwananchi akiwa ndani ya Chandarua kinachotengenezwa na kiwanda cha A TO Z |
| Meneja Uajiri na msemaji mkuu wa kiwanda cha A TO Z George Abeid akiwaonyesha waandishi wa habari wanachama wa APC bidhaa zinazozalishwa na kiwanda hicho jana |
| Burudani ikikolea: Meneja uajiri wa A TO Z George Abedi akimtuza Pamella Mollel baada ya kuridhika na style yake ya kucheza |
| Sehemu ya tawi linalotumika kama nishati ya kuendeshea mitambo ya kiwanda cha A TO Z |
| Kassim Kiko akionyeshwa sehemu ya bidhaa zinazozalishwa na kiwanda cha A TO Z |
| Waandishi wa habari wakiwa ndani ya kiwanda |
| Wafanyakazi wa A TO Z wakiweka malighafi inayotengeneza chandarua tayari kwa kuyeyushwa ili kutoa nyuzi jana kiwandani hapo |
| Waandishi wa habari wakishuhudia msitu unaotumika kukatwa matawi na kiwanda cha A TO Z kwa ajili ya kuendeshea mitambo ya kiwanda hicho |
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia