WAKILI MAWALA AFARIKI DUNIA



Wakili maarufu wa Mahakama Kuu ya Tanzania kutoka Kampuni ya Mawala Advocates ya Jijini Arusha, Nyaga Paul Mawalla amefariki dunia.
Taarifa ambazo zimesambaa katika mji wa Arusha na Viunga vyake zinaarifu kuwa Wakili huyo amefikwa na Umauti akiwa jiji la Nairobi nchini Kenya.
Father Kidevu Blog itaendelea kukupa taarifa kamili juu ya Msiba huo hivi punde.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post