AJALI MBAYA YATOKEA ARUSHA WATU 32WAKIWEMO WANAFUNZI 29 WAFARIKI DUNIA

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba Kuna ajali mbaya sana imetokea mda huu eneo la kata ya Rhotia Wilaya ya Karatu. Basi la wanafunzi wa St Lucky ya Arusha walikuwa wanaenda karatu kufanya mtihani na wanafunzi wenzao wa Tumaini English Medium School ya Karatu.
Mpaka sasa taarifa zisizo rasmi zinasemekana watoto zaidi ya 20 wamepoteza maisha na waalimu wao.
Tazama picha za tukio hilo hapo chini

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.