Ticha Kidevu kutoa zawadi kwa mkali wa mapind
Shule Director, Je! wewe ni mwanafunzi unayejiamini, mkali wa kupigisha mapindi wenzio. Ticha kidevu anataka kukupa zawadi amazing, Tembelea tovuti ya www.shuledirect.co.tz kusoma vigezo na masharti ya jinsi ya kushiriki.
#MkaliWaMapindi17 #ShuleDirect #TichaKidevu

0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia