Ticker

6/recent/ticker-posts

DOGO JANJA APIGWA NA MWALIMU KOSA .. HILO HAPO CHINI


hivi karibuni msanii mdogo kuliko wote Bongo, Abdul Azizi (Dogo janja) alipokea kipigo cha ngumi mateke pamoja na mtama kutoka kwa mwalimu wake wa shule aliyopo (Makongo high school).kwa maelezo ya dogo janja ni kuwa alikuwa akiongea na wanafunzi wenzake kabla ya kuskia mtu akimuita "Dogo Jinga mjoo hapa" kumtizama akaona ni mtu tu asieyenamuonekano wa uwalimu amevaa mlegezo ndipo akamjibu "Kubwa jinga nakuja" ndipo mwalim huyo alipomsubiri wakati wa paredi na kumfanyia mbaya. SWALI LA KUJIULIZA JE NI SAWA KWA MWALIMU KUMPIGA MWANAFUNZI MATEKE & NGUMI???

Post a Comment

1 Comments

  1. kwanza siyo sahihi kumpiga mwanafunzi mateke na mangumi, Lakini mwalimu ana makosa kwani alianza kwa lugha ambayo haisitahili kutumiwa na mwalimu kwa mwanafunzi, Dogo jinga njoo!!!! na inaonekana mwalimu pia alikuwaamevaa vibaya (Mlegezo) jamii imepiga marufuku staili ya mlegezo hivyo matatizo yote yaliyotokea mwalimu ndiye aliyesababisha

    USHAURI: Tunaomba shule ziwe na walimu wa nidhamu kwa jamii ile siyo kwa wanafunzi tu bali hata kwa walimu kama mwalimu anatumia lugha isiyofaa mwalimu wa nidham anatakiwa kuchukua hatua vivyo hivyo kwa mwanafunzi lakini pia mavazi ya heshima yazingatiwe mashuleni

    ReplyDelete

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia