AKUTWA NA BUNDUKI PAMOJA NA RISASI 13




Mtummojaanayetuhumiwakwaujambaziajulikanayekwajina la JumanneAbdallahMaarufukwajina la Babu G (25) MkaziwaUnga Limited jijinihapaamekamatwanaJeshi la Polisimkoanihapaakiwanabundukiainaya short gun pamojanarisasi 13 zinazotumikakatikabundukiyaainahiyo.
Bundukihiyoyenyenamba C. 056900 iliyokuwaimekatwakitakonamtutuilikutwanyumbanikwamtuhumiwahuyo, maeneoyaUnga Limited katikaHalmashauriyajiji la ArushamarabaadayaJeshi la Polisikupatataarifatokakwaraiawema.
“Marabaadayakupatataarifa, askariwetuwalikwendakatikanyumbahiyomudawasaa 2:30 asubuhinakumkutamtuhumiwakatikachumbachakeambayekwawakatihuoalikuwaanajiandaakutoka, ndipowalipomkamatakishakufanyaupekuzikatikachumbahichonakuikutasilahahiyopamojanarisasihizo”. AlisemaKamandawaPolisiMkoanihapaKamishnaMsaidiziMwandamiziwaPolisi (SACP) LiberatusSabas.
KamandaSabasaliendeleakusemakwamba, marabaadayamtuhumiwahuyokuhojiwanaJeshi la Polisimkoanihapa, alikirikuhusikakatikamatukiombalimbaliyauhalifukama vile unyang’anyiwakutumianguvunasilahakatikamaeneombalimbalihapanchinihukuakiwatajawenzakeambaowanaendeleakutafutwanaJeshihilonaatafikishwamahakamanipindiupeleleziutakapokamilika.
KufuatiamafanikiomakubwayanayopatikanandaniyaJeshihiloMkoanihapakatikakudhibitivitendovyauhalifu, KamandaSabasameendeleakuwashukuruwananchiwaMkoahuukutokananaushirikianomkubwawanaoutoakwajeshihilo.
PiaametoashukranizakekwaMaafisa, Wakaguzinaaskariwav yeo mbalimbaliwajeshihilomkoanihapakwakujitumanakufanyakazikwauaminifunauadilifumkubwahaliinayosababishakujengaimanikwawananchiambaowanaendeleakutoaushirikianokwaJeshihilo.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia