Ukumbi mpya wa Mwl.JK Nyerere ulioko jijini Dar es salaam ktkt barabara
ya shabaan Robert ulikuwa balaa jumamosi 7/12/2013 walipo pambana ma
Models 15 kwenye kinyang'anyiro chs kumsaka mwakilishi wa Tanzania
kwenye mashindano ya kimataifa ya Top Model of the World
KUMSAKA TOP MODEL APAKUTOSHA
bywoinde
-
0