JAN POULSEN AFUNGUA MOIVARO CUP ARUSHA LEO

kocha wa timu ya taifa Jan Poulsen akikagua timu ya Future academy wakati wa uzinduzi wa muivaro cup mashindano ambayo yameanza jana jijini hapa
kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Staxs Jan Poulsen akikagua timu ya Newlife wakati alipokuwa mgeni rasmi katika mashindano ya ligi ya vijana na watoto yaliyoanza leo mjini hapakocha Jan Poulsen akiwa na kocha wa timu ya taifa ya vijana wakiwa wamepiga picha ya pamoja na timu ya wasichana U-12 katika uzinduzi wa mashindnao ya muivaro cup.

Jan Poulsen akiawa na wenzake wakiangalia vipaji vya watoto katika mashindano hayo leo
kocha Jan Poulsen akiwa na kocha wa timu ya taifa ya vijana wakiwa wamepiga picha ya pamoja na timu ya wasichana U-12 katika uzinduzi wa mashindnao ya muivaro cup

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post