Wafuasi wa chadema wakiendelea kushangilia
kesi iliyokuwa ikiwakabili madiwani wa chadema Arusha imeisha na imefutiliwa mbali hapo mmbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akiwa kwenye maandamano na wanachama wake mara baada ya keshi iyo kumalizika