Mkuu wa mkoa wa Manyara,Elaston Mbwillo akiwahutubia wakazi wa mkoa huo kwenye kilele cha wiki ya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara kwa mkoa huo,yaliyofanyika juzi kwenye viwanja vya Kwaraa mjini Babati
Katibu Tawala wa mkoa wa Manyara,Claudio Bitegeko akiwatazama wacheza ngoma wa mjini Babati wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika mjini Babati juzi kwenye uwanja wa Kwaraa