ACP.
KAHATANO AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WADAU KUTOKA BE FORWARD JP MR.
HIRONORI YAMAKAWA (KULIA )KWA AFANDE NA MR, JACKSON MMBANDO – MENEJA WA
AIRTEL NA ZTO MKOA WA DAR ES SALAAM (ACP KONJA) WAKATI WA MAKABIDHIANO
YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU YAANI MPINGA CUP,
MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA
YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI MAKAO MAKUU DAR ES
SALAAM.
ACP. J.
KAHATANO AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WADAU KUTOKA BE FORWARD JP MR.
HIRONORI YAMAKAWA KULIA KWA AFANDE NA MR. JACKSON MMBANDO – MENEJA WA
AIRTEL NA ZTO MKOA WA DAR ES SALAAM ACP. A.KONJA WAKATI WA MAKABIDHIANO
YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU “ MPINGA CUP”
MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA
YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI POLISI MAKAO MAKUU
DAR ES SALAAM.
MR.
JACKSON MMBANDO KUTOKA AIRTEL AKIFAFANUA MAMBO MUHIMU KWA WAANDISHI WA
HABARI KUHUSU JINSI WAO WALIVYOYADHAMINI MASHINDANO YA MPINGA CUP,
MAZUNGUMZO HAYO YALIFANYIKA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI
VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU YAANI MPINGA CUP, MASHINDANO YATAKAYO ANZA
TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013
MAENEO YA TRAFIKI MAKAO MAKUU DAR ES SALAA.