Askofu
wa Jimbo, Geita Dmiano Dallu akifukiza ubani mwili wa Dr. Edmund
Mvungi katika ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu,
Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa
heshima za mwisho kwa marehemu Dr.Edmund Mvungi katika ibada ya mazishi
iliyofanyika kijijini kwa marehemu Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18,
2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiweka shada la maua katika jeneza la marehemu Dr.
Edmund Mvungi kabla ya azishi yaliyofanyika kijijini kwa marehemu
Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013.