HII NDO TWASIRA YA UTOAJI TUZO ZA AZAKI BORA 2013


 Kushoto ni  Bernard Kindoli (FCS) Akikabidhi Tuzo kwa mwakilishi wa Busega Children’s and Development Services Assistance  _Mshindi Mfadhiliwa Bora wa FCS 2013- Kuimarisha Uwezo wa Asasi
 Kushoto  ni  Martha Olotu (FCS) akikabidhi Tuzo kwa mwakilishi wa Mkombozi Center for Street Children – Mfadhiliwa Bora wa FCS - Sera Pic 3   Kushoto ni Marilyn Elinawinga (FCS) Akitoa Tuzo kwa Bwana David
Chanyegeya- Mwakilishi wa Tanga Civil Society Coalition – Mfadhiliwa Bora wa FCS – Utawala Bora
 Kushoto ni Marilyn Elinawinga (FCS) Akitoa Tuzo kwa Bwana David Chanyegeya- Mwakilishi wa Tanga Civil Society Coalition – Mfadhiliwa Bora wa FCS – Utawala Bora
 Kushoto ni Bwana John Ulanga, Mkurugenzi Mtendaji wa FCS akitoa Tuzo kwa  Wawakilishi wa Mkombozi Center for Street  Children- Mshindi wa Jumla , Mfadhiliwa Bora wa FCS 2013.
 Kushoto ni  Mheshiwa Abdallah Haji ( Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) Akikabidhi Tuzo kwa Mwakilishi wa Jumuiya ya Kukuza Kilimo Cha Kisasa Zanzibar- Mshindi – Asasi Inayoibukia (Emerging CSOs)
 Kushoto ni  Mama Mary Rusimbi (Mjumbe wa FCS) Akikabidhi Tuzo kwa Mwakilishi wa Saidia Wazee Tanzania – Kasulu, Mshindi wa Tatu – Tuzo ya Asasi Bora

 Kushoto ni Dk. Stigmata Tenga- Rais wa FCS, akikabidhi Tuzo kwa Mwakilishi wa Legal Assistance Organisation , Mshindi wa Pili- Tuzo ya Asasi Bora
 Kushoto ni Mh. Ummy Mwalimu( Naibu Waziri, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto ) Akikabidhi Tuzo kwa Mwakilishi wa Jumuiya ya kuelimisha Athari za Madawa ya Kulevya UKIMWI na Mimba Katika Umri
Mdogo  Ya Pemba- Mshindi, Asasi Bora 2013
 Mabingwa wa Azaki Bora wakijidai na tuzo yao
Washindi katika picha ya pamoja.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post