Leo
hii mwanadada wema sepetu ameoneka akipost kitu kwa mara ya kwanza
kwenye mitandao ya kijamii baada ya muda mrefu toka msiba wa baba yake
ulipotokea hivi karibuni
Katika post hiyo Wema amewataka “Teamwema” wapunguze jazba juu
yanayotokea juu yake na kuwasihi kuwa wapunguze kutumia lugha ya matusi
kwenye mitandao hiyo maana wanamuumiza ‘madame’
Ujumbe wake unasomeka kama ifuatavyo….
"...my darlings... im still grieving... i know you guys miss me...
nd i miss you more... im jus still nat okay... but im right here... nipo
pamoja na nyinyi... muda tu kidogo... dats all im asking for...
nawapenda... saana kupita maelezo... im gone be baq... very soon... i
promise... its jus dat sipo sawa. .. but inshallah... ntakuwa sawa...
inshallah... its hard... i hope mnanielewa... i repeat nawapenda mno...
mno... more dan u think... u kip me goin... u make me who iam... sema tu
msifanye vile basi... msitukane... me mwenzenu bado im nat okay...
alafu mnaniongezea matatizo... mi spendi... all in all i still love you
guys... basi msinikere... sawa... sometimes its best to jus keep
quiet... okay.... much love... P.S: Iam a father's daughter...♡♡♡