Mwezeshaji
Beda Msimbe akiendelea kuwanoa wanahabari wamiliki wa mitandao ya
kijamii nchini ambao wanapatiwa mafunzo na TMF.
Wanahabari wakionyesha kufurahia mafunzo ya uandishi wa mitandaoni leo mjini |
Mmoja kati ya wawezeshaji wa mafunzo hayo Bw Beda akiwapa mafunzo mzee wa matukio daima kushoto na wamiliki wa blog wengine wakiwa katika darasa la mabloga leo |
Mwanahabari Brandy Nelson akijitambulisha kabla ya mafunzo hayo ya TMF ambayo bila shaka yataongeza ubora wa blog nchini Tanzania.Na FRANCIS GODWIN |