Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo, akipokea mashuka ya wagonjwa ya
hospitali mbili zilizopo mkoani humo aliyokabidhiwa na Mjumbe wa bodi ya
wakurugenzi ya mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Lydia Choma
Mkuu wa Mkoa wa
Manyara, Elaston Mbwilo akiagana na Mkurugenzi wa Uhai
na Takwimu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Michael Mhando baada ya
kufungua kikao cha wadau wa mfuko huo wa mkoa huo, (wa pili kulia) ni Mkuu wa
Wilaya ya Babati Khalida Mandia na Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Martha Umbulla.
Mkuu wa Mkoa wa
Manyara, Elaston Mbwilo kwenye picha ya pamoja na wadau mbalimbali
waliohudhuria kikao cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF kilichofanyika
Mjini Babati kulia kwake ni Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya mfuko huo, Lydia
Choma na kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Babati, Khalid Mandia akifuatiwa na
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Martha Umbulla na Mkurugenzi wa Uhai na Takwimu wa
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Michael Mhando baada ya kufungua kikao cha
wadau wa mfuko huo wa mkoa huo.