RAIS KIKWETE AKIKARIBISHWA NA RAIS JACOB ZUMA KATIKA MKUTANO WA PAMOJA WA SADC NA ICGLR PRETORIA




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Rais Jacob Zuma katika mkutano wa pamoja wa SADC NA ICGLR katika ukumbi wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika Kusini, usiku wa kuamkia leo Oktoba 5, 2013

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post