Shalom Tanzania!
Baada ya kimya kirefu, mizunguko mingi ya ndani na nje ya nchi kihuduma,
Hatimaye Mwanamama, Mtumishi, Mwimbaji alijinyakulia tuzo ya Uanamuziki
bora wa nyimbo za injili Ukanda huu wa Afrika Mashariki, CHRISTINA
SHUSHO, Sasa amekuja na jambo kubwa la kipee na hili ni TAMASHA LA
KUSIFU NA KUMWABUDU MUNGU!