Home
Archive for
December 2013
Breking news
waziri wa maliasili na utalii muheshimiwa balozi khamis juma kagasheki atangaza kujiuzulu leo bungeni
Read More
Waasi waua watu 1000 Afrika ya Kati
Takriban watu elfu moja wameuawa na waasi wa zamani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati katika mapambano yaliyodumu kwa siku mbili yaliyo...
Read More
Wabunge waumbuana hadharani kuhusu posho za safari
Wabunge jana waliumbuana kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma huku Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe akituhumiwa kuagiza ...
Read More
Abiria Kigamboni taharuki kubwa
Abiria wanaotumia kivuko cha Mv Magogoni wamekumbwa na taharuki baada ya kivuko hicho kilichokuwa kikielekea Kigamboni kupata hitilafu na...
Read More
SAMUEL ETO'O ASHAMBULIWA NA MASHABIKI WA CHELSEA
Mashabiki wa Chelsea wanamrushia matusi pamoja na maneno ya kebehi striker Samuel Eto’0 baada ya kupost picha ambayo sio kawaida kwa...
Read More
Ismail Aden Rage kakubali kujiuzulu,ila hiki ndicho alichokisema
Mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage Wanachama wa klabu ya Simba wamemjia juu Mwenyekiti...
Read More
NGEMA YAANGUKA KILIMANJARO YAUWA WATU SITA
Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa miili ya watu walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wila...
Read More
MASTAA WA SIKINDE KUSHUKA NA NYIMBO 5 TAMASHA LA GURUMO JUMAMOSI TCC CLUB …Komandoo kuibuka na 2, Mzee Makassy na Anifa wake
Abdallah Gama na Miraji Shakashia wakila tizi la nguvu Muhidin Maalim Gurumo akishiriki mazoezi H afsa Kazinja, Edo San...
Read More
MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA MONDULI NA WANACHAMA WAPINGA NA KUTISHIA KUJIUZULU
MZIMU wa kumvua nafasi za uongozialiyekua Naibu katibu mkuu wa Chadema Zitto Kabwe umeendelea kukitafuna chamahicho baada ya juzi mwenyeki...
Read More
HAYA NDIO YALIOJIRI KATIKA JIMBO LA ZITO WAKTI DK SLAA ALIVYEENDA KUNGURUMA
Taarifa hii imetumwa na mdau mmoja, kwa kuwa hatukupata muda wa kumuuliza Dk Slaa (pichani), tunaichapa hapa kama aliv...
Read More
HIVI NDIVYO JINISI JINA LA KIKWETE LILIVYOONGOZA MAZISHI YA MANDELA
Johannesburg. Serikali ya Afrika Kusini, imetoa orodha ya majina ya wakuu wa nchi na Serikali 91 ambao wamethibitisha kushiriki kati...
Read More
GWIJI WA RUMBA TABU LEY AZIKWA KINSHASA
mazishi ya Gwiji wa Rumba nchini DRC, Tabu Ley Rochereau yalifanyika Jumatatu mjini Kinshasa . Mwili wake ukiwa ndani ya jeneza l...
Read More
ARSENAL YAONGOZA ALAMA YA POINTI
Klabu ya Arsenal imejinyakulia pointi moja baada ya kwenda sare ya bao moja dhidi ya Everton Arsen Wenger aliwashirikisha wachezaji ...
Read More
WANANCHI WA AFRIKA KUSINI WAENDELEA KUMUOMBEA MANDELA
Wananchi wa Afrika Kusini wanashirki maombi ya kitaifa ya mwendazake Nelson Mandela. Siku hii ya maombi imesemekana kua siku ya kumk...
Read More
ATA WANAWAKE WANAWEZA BWANA KUKAMATA USKANI NWADEREVA MWANAMKE WA BASI LA NDENJELA COACH KIVUTIO KWA ABIRIA WA SAFARI ZA MBEYA KWENDA DSM
DEREVA NUSURA MAGULUKO 28 AKIMWOMBA MUNGU KABLA YA KUANZA SAFARI SASA HAPA YUPO KAZINI BAADHI YA ABIRIA WAKIFURAHIA MWENDO...
Read More
KITUO CHA CHILDREN SUPPORT TANZANIA CHA ADHIMISHA SIKU YA ULEMAVU DUNIANI. MBEYA
Mgeni rasmi toka benki ya NMB akikata utepe kuzindua uwanja wa michezo wa kituo hicho Mkurugenzi Mtendaji wa K...
Read More
Subscribe to:
Comments
(
Atom
)