WAZIRI KIGWANGALLA AMTEUA MISS JOURNALISM TANZANIA 2018 KUWA BALOZI WA UTALII WA PORI LA AKIBA SELOUS

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Miss Journalism Tanzania, 2018, Witness Teddy Kavumo (21) ambaye pia...
Read More

BENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO WA WANAHISA JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei akizungumza na vyombo vya habari jijini Arusha leo ,kuhusu mkutano mkuu wa i...
Read More

WEMA ASHINDWA KUJITETEA MAHAKAMANI ,AUGUA GHAFLA

Kutokea Mahakamani Kisutu ni kwamba mrembo Wema Sepetu ameshindwa kujitetea katika kesi yake ya kutumia dawa za kulevya ba...
Read More

HIVI NDICHO JINSI MWANDISHI WA HABARI ARUSHA ALIVYOTEKWA KISHA KUPIGWA PICHA ZA UCHI

Mwandishi wa habari wa kujitegemea jijini Arusha, Lucas Muyovera amenusurika kuuawa kwa kipigo baada ya kutekwa na watu wasioju...
Read More

NAPE;SERIKALI JIPANGENI UPYA KATIKA BAJETI YA KILIMO

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), ameishauri serikali kuiondoa bungeni Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha 2018/19 ...
Read More

JARIBIO LA KUFUFUA MAREHEMU LASHINDIKANA ,WACHUNGAJI NUSURA WAPATIWE KICHAPO

  Wachungaji watatu wamenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, baada ya kushindwa kumfufua marehemu katika Kijiji cha Sita...
Read More

MVUA YAUWA MUUGUZI WA HOSPITAL YA ST ELIZABETH

Aliyesimama mbele ya jengo la hospital ya st  Elizabeth hahusiani na tukio Mvua iliyokuwa ikinyesha Alfajiri ya Leo May...
Read More

MOI SASA KUFANYA UPASUAJI KWA WAGONJWA 1000 KWA MWEZI ASEMA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN.

NA WAMJW-DAR ES SALAAM TAASISI ya Mifupa nchini MOI sasa itafanya upasuaji wa mifupa kwa wagonjwa wapatao 1000 kwa mwezi kuto...
Read More

DC SHINYANGA AZINDUA RASMI ZOEZI LA KUGAWA VITAMBULISHO VYA TAIFA KWA WANANCHI

Uzinduzi huo umefanyika leo Jumatano Mei 16,2018 katika ukumbi wa Lewis Kalinjuna uliopo katika ofisi za Manispaa ya Shinyanga.  Mkuu...
Read More

WANAWAKE WAJIPUMZISHA KUNDUCHI ,WAKIDAI WANASTAILI KUPUMZIKA

 Mwandazi wa siku ya wamama (mother’s day eve party), Magdalena Gisse akizungumza kuhusu umuhimu wa siku hiyo kwa wamama iliyofanyika kat...
Read More

BITEKO AUNGA MKONO AGIZO LA WAZIRI MKUU KWA VITENDO, ACHANGIA MABATI 100 KUPAUA SHULE YA SEKONDARI AZIMIO

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mkoani Geita ambaye ni Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akihutubia mamia ya wananchi katika  K...
Read More