DKT REGINALD MENGI KUISADIA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC.
Posted by
woinde
on
Monday, November 16, 2015
in
Habari
MATUKIO
|
|
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi
akiwa ameongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt
Geleard Masenga wakati alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi huyo
mwishoni mwa wiki. |
|
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi
akisalimiana na Askofu mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT)
Tanzania ,Dkt Fredrick Shoo alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi wa
hosptali ya rufaa ya KCMC .(kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hopstali
hiyo,Dkt Gileard Masenga. |
|
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi
akiteta jambo na Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT)
Tanzania ,Dkt Fredrick Shoo . |
|
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi
akipeana mikono na Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt
Gileard Masenga mara baada ya kutamburishwa kuwa ndiye mtendaji mkuu wa
hospitali hiyo kwa sasa. |
|
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi
akizungumza jambo mara baada ya utamburisho wa mkurugenzi
huyo. |
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC
,Dkt Gileard Masenga akizungumza jambo mbele ya Mwenyekiti wa
Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi (hayupo pichani). |
|
Dkt Mengi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi
wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC. |
|
Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt
Giliard Masenga akizungumza kuhusu ujenzi wa ngazi kuu za kungilia wodini
katika hosptali ya Rufaa ya KCMC ambazo ujenzi wake uligharimu kiasi cha sh
Mil 30 ,Fedha ambazo zilitolewa na Dkt Mengi. |
|
Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria
,(KKKT) Dkt Freedrick Shoo akisoma taarifa ya Hosptali hiyo katika hafla
fupi ya uzinduzi wa ngazi kuu za kuingilia wodini katika hosptali ya rufaa
ya KCMC ,ujenzi uliofadhiliwa na Dkt Mengi. |
|
Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria
,(KKKT) Dkt Freedrick Shoo akimkabidhi Dkt Mengi taarifa ya Hosptali hiyo
wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa ngazi kuu za kuingilia wodini katika
hosptali ya rufaa ya KCMC ,ujenzi uliofadhiliwa na Dkt
Mengi. |
|
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi
akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya ngazi kuu za
kuingilia wodini katika hospitali hiyo. |
|
Baadhi ya wananchi walioshuhudia tukio
hilo. |
|
Mwenyekiti mtendaji wa Makampuni ya IPP,Dkt
Reginald Mengi akiongozana na Mkurugenzi mtendaji wa Hopstali ya
Rufaa ya KCMC wakipita katika ngazi kuu zilizofanyiwa ukarabati hii
karibuni. |
|
Dkt Mengi akitizama baadhi ya maeneo katik awodi
za hospitali ya rufaa ya KCMC ambayo miundo mbinu ya maji pamona na vyoo
imekuwa chakavu. |
|
Sehemu ya maeneo ambayo yameathirika na uchakau
wa miundo mbinu ya maji. |
|
Dkt Mengi akisalimiana na mmoja wa wagonjwa
waliolazwa katika hosptali ya Rufaa ya KCMC. |
|
Mkurugenzi mtendaji wa Hosptali ya Rufaa ya
KCMC,Dkt Giliard Masenga akimuonesha Dkt Mengi maeneo mbali ya
hosptali hiyo ambayo upanuzi umeanza kufanyika kama sehemu ya kuboresha
huduma ya afya. |
|
Dkt Mengi akiaga mara baada ya kutembelea
hospitali ya rufaa ya KCMC pamoja na kuzindua ngazi kuu za kuingilia
wodini.
|
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia