Mtoto Careen Modest
Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa
na matundu mawili na valvu zake nyembamba zimebana kiasi hivyo
analazimika kusafirishwa kwenda India kwa
matibabu.
Wazazi wa mtoto huyo
wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe
gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30
zinahitajika ili kuokoa maisha yake.
Ewe Mtanzania, ewe mzazi
tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa tunaomba utume
mchango wako kwa mama mzazi wa mtoto huyo Eunice kwa namba0713 034866 au kwa namba 0715 083055
Mungu awabariki wote mtakaochangia kwa njia moja au nyingine.