Kutoka kulia ni Meneja wa Kampeni Haki ya Uchumi
kutoka Oxfam Eluka Kibona, Ofisa msaidizi wa Programu kutoka Forum CC
Jonathan Sawaya, aliyeshiriki shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015
Edna Kiogwe, na Evelina Mageni ambaye ni Rais wa wakulima
wanawake vijijini na alikuwa mshiriki wa shindano la Mama shujaa wa
Chakula 2015.
Meneja wa Kampeni Haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka
Kibona akizungumzia juu ya mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi
utakaofanyika Novemba 20 2015 kaika Kijiji cha Makumbusho Jijini Dar
es salaam
Ofisa
msaidizi wa Programu kutoka Forum CC Jonathan Sawaya akizungumzia
kuhusu mkutano mkubwa wa mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika
Ufaransa.
Evelina
Mageni ambaye ni Rais wa wakulima wanawake vijijini na alikuwa
mshiriki wa shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 akizungumza
umuhimu wa wakulima kushirikishwa katika kutunga sera, utunzaji wa
ardhi kwa ajili ya kilimo.
Kushoto aliyekuwa
mshiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 Edna Kiogwe
akichangia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa Habari kuelekea
mkutano mkuu wa Tabia nchi.