Picha ikionyesha mfayakazi wa saloni Alietambulika kwa jina moja la
Raphael akiwa anaendelea kufanya kazi ya yake ya kumuekea kope mteja
wake
Picha ikionyesha mmoja wa mama ambaye ni mfanyakazi wa Halmasharui ya
Jiji la Arusha akiwa anafanya usafi katika moja ya maendeo ya jiji hilo