Wabunge
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma wamemchagua
mheshimiwa Job Yustino Ndugai kuwa spika wa bunge la Jamhuri wa
muungano wa Tanzania.
Katibu wa Bunge Mh Dkt Thomasi Kashilila Amemtangaza Mh Job ndugai kuwa Spika wa Bunge la 11 baada ya Kujinyakulia Kura 254 sawa na 70% ya Kura zote zilizopigwa.
Mh Ndugai amewashinda Wagombea wengine kutoka vyama na makundi Mbalimbali
Kura zilizopigwa-365
Kura zilizoharibika-2
Malisa-0
Medeye-109
Rungwe-0
Almasi-0
Ndugai-254
Sarungi-0
Lymo-0
Kasimiu-0