Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed
Na Mwandishi Wetu,Zanzibar
Waziri was Kilimo, Maliasili, mifugo na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Hamad Rashid Mohamed amesema Waingereza wakati wakihofia tishio na ongezeko la wahamiaji katiks nchi kwa shaka ya kuyumba kichumi ametaka wakumbuke wameitalawa duna na kuchota rasilimali nyingi toka nataifa walioyatawala bila hiati wala ridhaa yao.
Pia amesikitishwa na uamuzi butu uliofamywa na Waziri mkuu wa UK David Cameroon wa kukubali kuitisha kura ya maoni wakati chama chake kilishinda uchaguzi uliokiweka madarakani na kukubakika kwa sera ya UK kuendelea kuwa mwanachama wa Jumuiya ya Ulaya (EU ).
Hamad ambaye pia ni Mwenyekiti wa wa Taifa wa ADC Taifa ametoa msimamo huo jana katika mahojiano maalum na Raia Tanzania yaliofanyika nyumbani kwake huko Mbweni nje kidogo ya mji wa Unguja.
Alisema UK wannachi wake wakati wamepipiga kura ya kujitoa katika jumuiya ya kimaendeleo ya uchumi ya Ulaya kwa wasiwasi wa kutetereka kiuchuni na ulosefu wa wa ajira ,wasiishau historia yao ya kuitawala dunia, kubeba maliasili , nguvu kazi na rasilimali nyingibtoka mataifa mengine kulikoshamirisha zaidi maendelo walionayo sass hivyo wanapaswa kutafuta njia mbadala ya utatuzi na si kujitoa EU.
"Cameroon hakutazama maslahi mapana na kuiona UK kijiji,hapana amekosea, ulimwengu sasa lazima utegemeane kwa njia moja sure nyingine, USA hutazama maslahi mapana ya kisiass na kiuchumi kwa wakati ulioo na ujao, ndiyo maana sasa wana Rais mwenye asili ya Afrika na kesho si ajabu huenda wakawa na Rais mwanamake "alieleza Hamad.
Alisema katika suala la kujitoa EU PM Cameroon aliyapa mgongo maslahi mapama na kuijikuta akifuata mkumbo wa watu wanaoona ongeseko la wahamiaji lingewanyima fursa za kuoatabajira na kuyumba kwa uchumi bila kutazama kwanza maslahi mapana .
"Mathalan mwalimu julius Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume walitazama kwanza maslahi mapana, bila kujali umuhimu wa vyeo vyao tamu ya madaraka , wangejitazama wao Taifa hili lisingesimama na jllufika mahali sasa lilipo "alieleza Hamad.
Alisema baada ya kuwepo kwa vugugu na joto la baadhi ya wananchi huko UK, PM Cameroon alioaswa kuchemsha bongo kwa kutazama maslahi mapana, kisiasa, kuitaawala na kiuchuni ili kupata mahawabu yake kabla ya kuridhia uitishaji kura ya maoni .
Akitoa mfano wa kuvunjika kwa jumuiya ya ikiozishirikisha Tanzania, Kenya na Uganda (EAC) mwaka 1967, Hamad alikumbusha kuwa baadhi ya w!kuu wa nchi hizo walitazama maslahi binafsi na kusahau jukumu la kubeba dhamana ya wana Afrika Mashariki na kuijikuta wakigawanyika kirahisi.
Aidha Hamad alisema kitendo cha nchi za Norther Island, Wales na Scotland kutaka kubaki katika EU wakati England ikijitoa, kutajengeka taaswira nyingine mpya hasi na hata kugusa maslahi ya kisiasa na isipotazamwa kwa umakini kunaweza kuzusha mtafaruku .
Hata hivyo uamuzi wa Cameroon kukubali shinikizo la kura ya maoni ni sawa na kukitosa chama chake kwa kuchukua uamuzi wa hisia na kuweka kendo uhalisia wa mambo yanayohusu medani za utawala na matokeo ya kutokea kwa gharama ya hasara .
"Hata matamshi yake ya kusemq atajiuzulu yamebebwa zaidiba hamkani bila kuzingatia jambo lipi anastajili alifanye, kushauriwa , kutafakari kabla kufikia mamuzi ambayo pengine yataidhuru UK na conservertive "
Alieleza mwanasiasa huyo ambaye ni Waziri mpya toka upinzani katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoongozwa na Rais Dk Ali Mohamed Shein.