Mkuu
wa wilaya Richard Kasesela alishiriki katika ufunguzi wa vikao vya Mahakama ya Rufaa
mjini Iringa vitakavyo endeshwa kwa wiki 2 na kusikiliza kesi 29 Vikao
hivyo vitaongozwa na Jaji wa Mhakama ya Rufaa Jaji Sauda Mjasiri,
akisaidiwa na jaji Stella Mgasha na Jaji Augustino Mwarija.