Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania yafanya ziara ya kuangalia utekelezaji wa majukumu ya kazi za Mamlaka.
Mwenyekiti
wa Bodi hiyo Dkt. Burhani Nyenzi pamoja na wajumbe wakiangalia utendaji
kazi wa rada ya hali ya hewa iliyopo Bangulo, Pugu. Mwenyeji wa ziara
hiyo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa TMA na katibu wa Bodi hiyo Dkt. Agnes
Kijazi.

kazi wa baadhi ya vifaa vya hali ya hewa katika kituo cha hali ya hewa
JNIA. Mwenyeji wa ziara hiyo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa TMA na katibu wa
Bodi hiyo Dkt. Agnes Kijazi.

wa Bodi hiyo Dkt. Burhani Nyenzi akielezea jambo katika kituo cha hali
ya hewa JNIA. Mwenyeji wa ziara hiyo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa TMA na
katibu wa Bodi hiyo Dkt. Agnes Kijazi.
Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Burhani Nyenzi pamoja na wajumbe
wakiangalia utendaji kazi wa studio ya kurekodi utabiri wa hali ya hewa
wa kila siku unaosambazwa kwenye vyombo vya mbalimbali vya habari.
Mwenyeji wa ziara hiyo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa TMA na katibu wa Bodi
hiyo Dkt. Agnes Kijazi.
Mwenyekiti
wa Bodi hiyo Dkt. Burhani Nyenzi pamoja na wajumbe wakiangalia utendaji
kazi wa studio ya kurekodi utabiri wa hali ya hewa wa kila siku
unaosambazwa kwenye vyombo vya mbalimbali vya habari. Mwenyeji wa ziara