Sehemu
ya Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Miji, Manidpaa na Majiji 185
wakipata maelezo ya awali kabla ya kula kiapo cha maadili ya viongozi
leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiongea na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Miji, Manidpaa na
Majiji 185 kabla ya hawajakula kiapo cha maadili ya viongozi leo Ikulu
jijini Dar es salaam.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano ulioitishwa na Rais
John Magufuli kwa Wakurugenzi wa Halmashauri zote za wilaya na baadhi ya
Wakuu wa wilaya ikulu jijini Dar es salaam Julai 12, 2016.
Wakurugenzi
Watendaji wa Halmashauri, Miji, Manispaa na Majiji 185 wakila kiapo
cha maadili ya viongozi leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Wakuu
wa wilaya za Kongwa Mhe deo Ndejembi (kushoto), Siriel Shaidi Mchembe
(DC Gairo) na Mhe. Geoffrey Idelphonce Mwambe (DC Manyoni) wa kila kiapo
cha maadili ya viongozi leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukosa
kufanya hivyo na wenzao wiki iliyopita.PICHA NA IKULU