BUNGENI LEO APRIL 6 2018
Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge
akiongoza kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, leo Mjini Dodoma.

Naibu
Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege akijibu maswali ya
wabunge, wakati wa kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu
wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa Jiimbo la
Mtama Mhe. Nape Nnauye, wakati wa kikao cha kumi na moja cha Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akiwaeleza jambo
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango na Naibu Waziri wa
Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, wakati wa kikao cha
kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini
Dodoma.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
akimueleza jambo Mbunge wa Jimbo la Chemba Mhe. Juma Nkamia, wakati wa
kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo
Mjini Dodoma.
Waziri
wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa
akimueleza jambo Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dkt.
Mwigulu Mchemba, wakati wa kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwaeleza
jambo Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dkt. Mwigulu
Mchemba na Mbunge wa Jimbo la Kilolo Mhe. Venance Mwamoto, wakati wa
kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo
Mjini Dodoma. PICHA NA MAELEZO





0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia