JP M na mkewe wauthuria sherehe za kusimikwa ask of u mkuu jimbo katoliki la Arusha


RAIS John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli leo wamehudhuria kusimikwa kwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Katoliki la Arusha, Isaac Amani, katika parokia ya Mtakatifu Theresa wa Mtoto Yesu jijini Arusha.

Misa hiyo pia imehudhuriwa na viongozi mbalimbaliwa serikali na wa kanisa hilo.

Rais Magufuli akimpongeza Askofu Mteule, Isaac Amanikabla ya kuanza kwa misa ya kumsimikaNyuma yake ni Mama Janeth Magufuli.

Wakikumbatiana.

Rais Magufuli na mkewe wakiwasalimia maaskofu wamajimbo mengine.

Rais Magufuli akiwasalimia viongozi mbalimbali wakanisa.

Mama Janeth akimsalimia Askofu Isaac Amani.

Rais Magufuli akiwasalimia waumini waliohudhuriamisa hiyo.

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia