Katibu
Tawala wa mkoa wa ARUSHA,Richard Kwitega kushoto akimkabidhi
Paroko
msaiidizi wa Kanisa Katoliki jimbo kuu la Arusha ,Padri Festus Mangwangi
saruji
mifuko saruji 300 kwa niaba ya Rais ikiwa ni ahadi aliyoitoa katika
kanisa katoliki jimbo kuu la Arusha wakati wa misa ya kumsimika Askofu mkuu wa
kanisa hilo ASAACK AMANIkwa uongozi wa kanisa
Na Woinde Shizza,Arusha
Rais Dkt
JOHN MAGUFULI ametoa mifuko ya saruji 300 ikiwa ni ahadi aliyoitoa katika
kanisa katoliki jimbo kuu la ARUSHA wakati wa misa ya kumsimika Askofu mkuu wa
kanisa hilo ASAACK AMANI.
Katibu
Tawala wa mkoa wa ARUSHA,RICHARD KWITEGA akitoa saruji hiyo kwa niaba ya Rais
kwa uongozi wa kanisa,amesema mifuko hiyo ni ahadi ya Rais ya kuchangia ujenzi
wa kanisa unaoendelea kando ya kanisa lililopo hivi sasa.
Mifuko ya
saruji ambayo imetolewa na Rais Dkt JOHN MAGUFULI aliyoiahidi wakati wa misa ya
kumsimika Askofu mkuu wa Kansa Katoli jimbo kuu la ARUSHA.
Katibu
Tawala wa mkoa wa ARUSHA,RICHARD KWITEGA ndiye aliyekabidhi msaada huo kwa
niaba ya Rais Dk JOHN MAFUGULI,ambaye amesema mifuko hiyo itasaidia ujenzi wa
kanisa hilo jipya.
Kwa upande
wake Katibu msaidizi wa Kamati ya ujenzi wa kanisa,DANIEL LAIZA,amemshukuru
Rais kwakutekeleza ahadi yake kwa wakati hivyo watatumia kwa matumizi
yaliyokusudiwa.
Paroko
msaiidizi wa Kanisa Katoliki jimbo kuu la ARUSHA,Padri FESTUS MANGWANGI,amesema
uujenzi huo wa kanisa utakamilika kutokana na misaada inayotolewa huku
0 Comments
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia