Ticker

6/recent/ticker-posts

MADIWANI WA HALMASHAURI YA ARUSHA WAKUTANAKUJADILI TAARIFA YA ROBO YA NNE YA MWISO WA MWAKA2021/2022

 

Mwenyekiti halmashauri ya Arusha Mhe. Ojung'u Salekwa, akifungua mkutano wa Baraza la Madiwani wa kujadili taarifa za robo ya nne na ya mwisho kwa mwaka wa fedha 2021/2022, kwenye ukumbi wa mikutano wa halmashauri hiyo.

Mwenyekiti halamshauri ya Arusha, mheshimiwa Ojung'u Salekwa, akifungua mkutano wa Baraza la Madiwani wa kujadili taarifa ya robo ya nne na ya mwisho kwa mwaka wa fedha 2021/2022.


Mheshimiwa Mwenyekiti, amebainisha kuwa mkutano huo ni wa muhimu sana kwa maendeleo ya wanachi wa halamshauri ya Arusha na kuwawataka wajumbe wa mkuatano huo kujikita zaidi kwenye kujadili hoja za msingi na zenye manufaa kwa wananchi wa halmashauri hiyo.


Mkutano huo una jumla ya Ajenda 9 huku ajenda kuu zikiwa ni maswali ya papo kwa papo, taarifa za mapato na matumizi kwa mwezi Juni 2022, taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo ya nne 2021/2022 pamoja na kukabidhi vya shukrani kwa wadau 11 walioshiriki kuwezesha zoezi la mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2022.


Post a Comment

0 Comments